Wengi hawaangalii mabadiliko ya timu.Kipindi cha kwanza dynamo walifanikiwa kurudi mchezoni lakini baada ya kuingia gerson simba ikarudi kwenye ubora kumbuka kuna wachezaji muhimu lakini huwa hawaonekani uwanjani mfano muzamir yassin
Vip kuhusu wawa mkuuWengi hawaangalii mabadiliko ya timu.
Shiboub yupo fit ila jana moto ulikata. Box to box midfielder inahitajika uwe na mapafu ya mbwa mithili ya kina Michael Essien.
Naamini Prof Ausseum ameliona hilo na atalifanyia kazi. Shiboub atakuwa mcharo zaidi kwenye mechi zijazo.
Wawa ana shida kuu ya kujisahau kucheza mipira ya juu hasa kwenye setpieces.Vip kuhusu wawa mkuu
Kama kuna watu hawatusumbui, basi ni nyie Matikiti FC.NA KUPOTEANA MMEANZA MAPEMA HIVI? NA BADO.... SISI YANGA TUNAWACHORA TU NA WABRAZIL WENU 🤣 🤣 🤣
I SEEKama kuna watu hawatusumbui, basi ni nyie Matikiti FC.