Muda mchache ujao tutashuhudia pambano la ubingwa (Vacant WBA Lightweight Title) kati ya Mmarekani Gervonta Davis 'Tank' ambaye yupo chini ya TMT ya Mayweather na Mcuba Yuriorkis Gamboa. Rekodi zao ni kama zionekanavyo pichani, kwa wanaoangalia live tupeane updates hapa.
Tank kashinda KO Round ya 12. Ila fans wengi hawajawa impressed na performance yake ya leo, amestruggle against a washed-up Gamboa, je ataweza kutoboa kwa Lomachenko/Haney/Teofimo?