babamwingine
New Member
- May 5, 2024
- 1
- 1
Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:-
Gesi kuuzwa kwa bei ya juu, hii inapelekea watu wengi kutumia mazao ya misitu kwa mfano mkaa na kuni bei yake haipungui elfu kumi kwa gunia na ukiangalia kununua gesi inagharimu elfu hamsini na kuendelea. Kwa hiyo mtu anaona bora atumie elfu kumi kununua gunia la mkaa ambalo atatumia zaidi ya mwezi mmoja badala ya kutumia gesi ambayo haimalizi hata wiki tatu.
Mwisho, naiomba serikali iwekeze hasa kwenye gesi gharama za kununua na kujaza gesi zipungue kwasababu hii itamfanya kila mtanzania amudu bei hizo na hii pia itapunguza uharibifu wa misitu kwenye nchi yetu

Upvote
2