tashyno abas
Member
- Jul 8, 2015
- 12
- 8
Pole sana lakini hapa huwezi kupata msaada stahiki kwa sababu hakuna anayejua chanzo cha gas yako tumboni ni nini! Watu watakuwa wanabahatisha na hivyo kukushauri unywe dawa kwa kubahatisha kitu ambacho kinaweza kisimalize tatizo au kikafanya liwe kubwa. Tatizo lako litaisha siyo kwa kunywa dawa tu bali kwa kujua kwanza chanzo ni nini.Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
Nina mashaka na thinking capacity yakoPole sana lakini hapa huwezi kupata msaada stahiki kwa sababu hakuna anayejua chanzo cha gas yako tumboni ni nini! Watu watakuwa wanabahatisha na hivyo kukushauri unywe dawa kwa kubahatisha kitu ambacho kinaweza kisimalize tatizo au kikafanya liwe kubwa. Tatizo lako litaisha siyo kwa kunywa dawa tu bali kwa kujua kwanza chanzo ni nini.
Magnesium inasaidiaga sasa kwa mtoa mada sijui atakua na shida gani
Mtu kama wewe kuwa na mashaka na uwezo wa mtu wa kufikiri hakumaanishi chochote.Nina mashaka na thinking capacity yako
usichoke kutoa elimu andika hata kwa kifupi tuNilishaandika hapa mara nyingi juu ya tatizo hili na namna ya kujiponya.Fuatilia hizo nyuzi utapata msaada vizuri.
Yaan wewe ulivyo comment ni kama vile hakuna umuhimu wa mtu kuleta nyuzi humu,hivi unafikiri umuhimu wa kuleta nyuzi humu ni upi au una comment tuMtu kama wewe kuwa na mashaka na uwezo wa mtu wa kufikiri hakumaanishi chochote.