CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Pole sana Mkuu!!
Mimi ningesuggest hii mitungi ya gesi watuwekee kitu kinachoonyesha imefikia wapi!!!Huwa hii mitungi haina taarifa,unashtukia tu gesi imeisha !!!
Embu jiulize gari lisingekuwa linaonyesha kiasi cha mafuta kwenye tank,ingekuwaje?Nadhani wengi tungekuwa tunakwama barabarani!!
Marketing department,fanyieni hii issue kazi,mturahisishie sisi clients wenu

Si kuna mitungi ya kilo 38, 15 na 6?
Umeshindwa hata wa kilo 6 mkuu?
Pole sana Mkuu!!
Mimi ningesuggest hii mitungi ya gesi watuwekee kitu kinachoonyesha imefikia wapi!!!Huwa hii mitungi haina taarifa,unashtukia tu gesi imeisha !!!
Embu jiulize gari lisingekuwa linaonyesha kiasi cha mafuta kwenye tank,ingekuwaje?Nadhani wengi tungekuwa tunakwama barabarani!!
Marketing department,fanyieni hii issue kazi,mturahisishie sisi clients wenu
tatizo co gauge, tatizo ni kwamba hata ikiisha utatakiwa kununua kilo 15 zile zile. ndo mana nasema
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3781657
la muhimu ni kuwa na mitungi miwili mkuu,ikikata mmoja unaweka mwingine hiyo ndo alternative nnayotumia,na je vp kuhusu ujazo sahihi? utajuaje kama ni 15kg ya ukweli?
me nkienda kununua huwa nahakiksha naupima kwny mzan wao labda wawe wamebana mzan.khs mitung mi2 duh noma.maisha yenyewe passport size mi2ng mi2 dah
napimia pale pale ninaponunua, km ni punguf wananibadilishia
me ilibidi ninunue wa pili baada ya kulala na njaa mara mbili kaka,vp katika kupima ushakuta ulio pungufu?
kuna ile unarudi home late kaka,ukicheki frige limenuna afu upo mbali na duka,gase nayo hola...Yaani mkuu unalala njaa kwa kukosa gas ya kupikia? Mkate na juisi je? Au una maana bila ugali hujashiba kama wale ndugu zetu wa mahali fulani?
GAUGE kwenye mitungi ndio solution muafaka. Gharama yake haizidi sh. 5,000 kwa aina ile inayowekwa kwenye fire extinguisher za magari.
Solution ni kuwa na mitungi miwili kwa jiko moja, mmoja ukiisha unaweka mwingine wakati unajipanga kuujaza ulioisha kabla hujaumbuka. Mimi niliishiwa gesi wakati chakula cha wageni kinapikwa...habar wanajamvi, lait kama gesi ya majumbani ingelikuwa inapimwa kwa kias kidogo km tupimavyo mafuta may b kilo moja na kuendelea. leo nimepata shida kwn nimeishiwa gesi afu ni ucku i have no alternative. kwann wasipime kias kidogo kidogo?