Gesi ya Mtwara

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
3,916
Reaction score
6,697
Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara. Hivi kama nchi tunafaidikaje nayo? Kwani sisikii ikitajwa popote kama vyanzo vya mapato wala faida iliyopatikana tangu uchimbaji uanze

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Makonde wote!! somo!! hamna bahati!! Mliachia dodo hivi hivi?? ...Mkondo wa mafuta umeelekezwa na wagemaji kuelekea Msumbiji yanapatikana huko wameshaanza kuchimba, nyie si mlitaka pasu kwa pasu kwa lazima!!

sasa ngoja wawaonyeshe kuwa wao ni zaidi mtabaki kutega mikono tyuuu na kuuza mitumba kenge kabisa.......labda mkilia lia saaana na kujuta kwa mlilo wafanyia watawapa mafuta taka muoshe mkauze Rami! tena mnako jua nyie! chaza nini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…