Real polycarp
New Member
- Dec 9, 2023
- 2
- 10
TAIFAHabari za muda huu ndugu zangu.
Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas zifuatazo gasi ipi hapo Ina mzunguko mkubwa kwenye utokaji
1. Oryx
2. Taifa/Mihan
3. O gas
Ukianza kutafuta NI Gesi gan inatoka Sana utakuwa unakosea Sana , mm nauza ges almost Nina miaka 5 sasa , labda nikuambie kama unataka kujua gesi inayotoka Sana Basi angalia hapo mtaan kwako wanatumia Gesi za kampun ipi , then ukishajua Basi chukua mzgo WA hiyo kampun ,Habari za muda huu ndugu zangu.
Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas zifuatazo gasi ipi hapo Ina mzunguko mkubwa kwenye utokaji
1. Oryx
2. Taifa/Mihan
3. O gas
Arusha kuna Manj's ana Market share kubwa sanaKampuni za kiswahili Kuna shida
Kampuni pekee yenye mzunguko mkubwa wa Gesi ni ya Wazungu wa Oryx tu
Hawachakachui sababu standard zao za kimataifa mitungi Yao popote duniani lazima viwango viwe sawa Na hukaguliwa mara Kwa mara na wakaguzi wa kimataifa kuhakiki ubora na ujazo kuhakiki kuwa uko standard ya kimataifa .
Bidhaa yoyote ambayo unadhani ni bora sana basi hiyo lazima ina wachakachuzi wengi wakitaka kutembelea huo upepoKampuni za kiswahili Kuna shida

Orxy