Gest siku hizi kelele za wanawake kulia (screaming) zimepungua.....

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Miaka miwili hii ukilala gest kuna utulivu sana tofauti na hapo nyuma kelele za wadada au wanawake zilikuwa kubwa sana wanapoingia na wanaume wao.

Hiyo screaming ilikuwa hatari....
 
Miaka miwili hii ukilala gest kuna utulivu sana tofauti na hapo nyuma kelele za wadada au wanawake zilikuwa kubwa sana wanapoingia na wanaume wao.

Hiyo screaming ilikuwa hatari....
? Mkuu we ni mtafiti wa screamings? Vipi mkeo halii?
 
Kwenye kasha la anaconda kuna hii caption "You can't scream if you can't breathe"
 
ni swala dogo haliitaji akili ya darasa la saba kuelewa.....

ni hivi, siku hizi maendeleo yamekuja , kuna lodge za maana, unakuta full gypsum vioo aluminium na air condition. mtu akijimwaga ndani kelele utazisikia wapi ?

zaman gest bubu unakuta nyingine hazina hata cilling board, madirisha ni wavu wanaziba na pazia tu bas... sauti inakua ni rahisi kupenya.

kwa kifupi sababu kubwa ni maendeleo.
 
Uko sahihi.
 
Kuna siku enzi za u Gudume pilika mitaa ya kati Nyamala nilikoma ubishi mwenyewe.

Bidada chumba cha pili alikuwa analia kama anapigwa mtungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…