Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Kwa miezi mitatu nimefanya uchunguzi wa kina kugundua CCM iliwatumia vijana gani "kudunda" watu kwenye chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo hatimaye nimefanikiwa.
CCM iliwatumia vijana wake wa Songea Mjini Jimbo linaloongozwa na (DR.) Emmanuel Nchimbi Naibu waziri wa Ulinzi chini ya Usimamizi wa katibu wa Vijana wa CCM wa Songea Mjini Kite Mfilinge.
Mfilinge ndiye aliye wafundisha vijana hao sanaa ya mapigano kwani yeye mwenyewe anamiliki mkanda mweusi wa Karate. vijana hao mpaka sasa wako zaidi ya 60 na kila siku wanaongezeka na siku za hivi karibu walipelekwa Zanzibar kwa kazi "maalum"