Ok,sawa shukrani sanaWe jamaa nlikua nakutania ila ukifika Moro chukua boda buku mwambie akupeleke gest ya hadhi unayotaka unapata zipo nyingi saaana coz zamani Morogoro ilikua kituo cha mikutano ya taasisi za umma so kuna gest nyingi sana msanvu sema sikumbuki majina ya gesti au hata ukitembea tu unapata zipo around
Ongeza elf 5 iwe elf 25 then nenda panaitwa mambo club, pako biyee, nimelala marakadhaa full confortsHabari zenu wanajamii forum,nimepata safari ya ghafla kesho nataraji kwenda morogoro ila itanibidi nilala kwa usiku mmoja,Bajeti yangu ni kuanzia elfu 15 mwisho kabisa 20,iliyopo maeneo karibu na stend ya msamvu morogoro,nitashukuru mkinijibu mapema