Una kila sababu ya kutoa machozi! Lakini ukipata nafasi ya kutembelea shule za hapa bongo nyingine nyingi za huko vijijini nafikiri machozi yatakukaukia!
Message nayopata hapa sio ufisadi bali mgawanyo mbovu wa mapato ya taifa na matokeo yake ni kuwasahau kabisa wale walio mbali na pale ugawaji unapofanyikia, hata kama ndio wapiga kura! Sijui kama nchi za wenzetu waliotufundisha na kutulazimisha kufuata 'capitalist economy' na wao wamepitia matatizo kama hay?!
Kufika tutafika ila tu inategemea ni wapi!
Mi sipendi siasa but I thought this attachment will be of relevance to wana jamii.
Us....a please do not take it as an insult, but this is the reality that there is a gap between the haves and have-nots and the haves do not seem to care anymore.