Get tugedha part...

Get tugedha part...

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Wapwa ni muda sasa toka mpwa Kaizer atoe thread ya get tugedha ya Mikumi sasa umefika muda muafaka wa kukutana wapwa na ku analyse cost za huko tutakako enda kama nilivyo pendekeza initial cost iwe 100,000/= hii kwa ajili ya msosi, usafiri, na hata malazi itategemea wapwa tutakapo kutana week end hii. Jamani week end hii tukutane na kuchanganua gharama za get tugedha bab'kubwa.
Nawakilisha.
 
Mimi lazima niwe mhasibu ngoja nifungue account!
 
Hapa mie no coment mkimaliza mipangilio yenu yooooooooooooooooooooote mtupe update kamili

kwahiyo kama ni double inabidi tu-pay 100000x 2
 
Usijali ndo maana tunataka week end hii tukae nafrahi wengi wamerudi Dar maana walikuwa vekesheni carmel, ZD, Xpin, Nguli, Kaizer, Georgie_Porjie, Geoff, JS na wengine jamani tufanye pale pale?
 
Ninge suggest tubadili na tufanye sehemu ingine ambayo nitakupigia simu tubadilibadili.
 
Yeah naona kuna kiwanja Kaizer kasuggest ngoja nitakushtua yeah kubadili mazingira ni muhimu lakini Jiografia ya mji nayo itabidi tuzingatie.
 
hahaaaaaaaaaa, this time nataka nipande tuk tuk. ushaitoa service lkn Fidel?
 
Usijali ndo maana tunataka week end hii tukae nafrahi wengi wamerudi Dar maana walikuwa vekesheni carmel, ZD, Xpin, Nguli, Kaizer, Georgie_Porjie, Geoff, JS na wengine jamani tufanye pale pale?

kama kawaida binamu!,
ila hakikisha kile kinywaji changu chenye nguvu Bavaria 8.6 inapatikana bila mizengwe.
 
hahaaaaaaaaaa, this time nataka nipande tuk tuk. ushaitoa service lkn Fidel?

Duh hahahaha naogopa isije ikapata pancha bure huo uzito si tutadondoka!
 
sitafika for my own good...nisijenikakolapsi bure maana mabo yako nshayaona yakupeana magonjwa ya moyo

Hahahaha unaogopa? au unamwogoa Nguli?
 
Nilikuwa huko na washikaji like 10 days ago hivi ... the location is great na tuliingia mbugani kufanya utalii wa ndani ... the fees are very affordable, cjui kwanini wengi wetu hatupendi kutembelea hizi mbuga zetu na kufanya utalii wa ndani.

Toka mikumi tukarudi moro town usiku tukajiachia viwanja vya hapo mjini, Club For Stars, etc .... it was very very great i see!
 
Attachments

  • IMGP3020.JPG
    IMGP3020.JPG
    445 KB · Views: 46
  • IMGP3030.JPG
    IMGP3030.JPG
    317.1 KB · Views: 46
Nilikuwa huko na washikaji like 10 days ago hivi ... the location is great !

Mkuu hebu nipe gharama za malazi mle mbugani ina range kiasi gani kwa siku na gharama za bia ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom