Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
Pole sana AshaDii naombaAllah (SAW) apokee dua za wote waliokumbea upone urejee katika hali yako ya kawaida.

Pole sana best.
Hi Alter,

I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly.
Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?)
I miss you jamvini na uraiani pia. Get well soon love.

 
RR una habari zaidi ya kutuambia kuhusu asha D?mbona kama habari zake zimeleta utata mara kwa mara.je hii thread inaelekea wapi ukizingatia imeanzia kwenye ugonjwa?

Well well JB....Nikumbushe tu kuwa AshaDii is just HUMAN like any of us...kwa hiyo, afya kutetereka hapa na pale ni kawaida. Na nikawaida pia hapa mmoja wetu akipata tatizo basi inasemwa, watu tunapeana pole as a family....which is good I think

So,,authoritatively I am able to say kuwa RR, her Alter, is correct about her illness, and we all pray for her quick recovery....

Get well soon sweetie AshaDii..
 
Thanks for your concern, rest assured that as a Mod and as a friend I have done the necessary kabla ya kurusha uzi.

Yaani RR hilo jia lako lisingekuwa na maandishi mekundu, ningekuwa na neno la kukuambia...ila sasa kwa hali ilivo....hebu nisijepata ban manake mawazo yangu yako kwa mgonjwa...BUT Thank YOU.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…