Katika hali yangu ya uzuni ya kum-miss Alter Ego umenifanya nicheke hapa... Nimekuongezea reputation power! lolAhahaha.thanks.Bora uende piemu hii thread imeanzishwa na mode,tusijetukala ban kwa kosa la uchakachuaji...Hujambo lakn...
AmeenRR ! Nina vitu viwili Kwanza : Nampa pole mgonjwa for the God sake she may get fine soon.
We unazungumzia members kuhishi jirani? Kuna members ni couples wa ndoa kabisa!Pili : ni swali , hivi source ya kujua somebody Membar yu mgonjwa, navyojua ni mgonjwa husika kuleta Thread kutujuza.
So far ikiwa hajatoa ufahamu unakujaje ? Through Pm au ? Inatokea Membars kuishi jirani ?.
Pole sana, .amefanya diet nyingi sana au?
Si unaju wanawake wengine wanakuwa wagonjwa kwa kuwa hawali vizuri.
Katika hali yangu ya uzuni ya kum-miss Alter Ego umenifanya nicheke hapa... Nimekuongezea reputation power! lol