Ndugu yangu Kama unataka kuitangaza service yako
hiyo ya kutengeneza website ni lazima uonyeshe bidhaa
zako zikoje.
Tengeneza hata ka jpeg image ka template ya website
uliyo tengeneza halafu u-upload
http://imageshack.us ili
watu waone kazi yako.
Pili ili uweze kutuonyesha uko serious na service yako
lazima uwe na website, hapa simaanishi free hosting
kama blogger au wordpress. Nunua ka domain hata kama
ni .info ya $2.99 kwa mwaka toka
http://namecheap.com.
Watu wengi wala hawajui gharama ya top level domain.
Pia ni lazima uwe savvy marketer unapofanya mambo haya...
tengeneza ka blog ili uwe unatoa tips, tueleweshe
akina sisi umuhimu wa kuwa na website.
Usiishie kwa wabongo tuu kama unataka ku-make
REAL MoNEY kama $__________ a month jiunge kwenye
website za kimataifa ambazo watu kama sisi huwa
tuna post jobs ili watu wenye vichwa vyao watufanyie
kazi wakati tunapata "pina colada".
Huu ni ushauri tuu...kutengeza website peke yake
siku hizi hakulipi kama zamani (90s) kwasababu
kuna application nyingi za web2.0 ambazo zinarahisisha
kazi.
kama unajua ku-code any web programming php/msql na cURL
au kama unajua perl/python/C/C++/C#/JAVA unaweza kufanya
maajabu ndugu yangu. kwasababu watu wengi wanahitaji programmers
ili wawatengenezee scripts za ku-automate wed activities, kama
kutengeneza tweeter accounts, article poster robot au ku-upload
Youtube videos n.k
Hizi ni baadhi ya website ambazo unaweza kupitia ili uone
wenzako (freelancers) wanafanya nini.
http://elance.com
http://scriptlance.com
http://odesk.com
http://liveperson.com
http://project4hire.com
http://getacoder.com
http://codingforums.com
http://odesk.com