Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 851
Wakuu habari zenu? Leo Nataka kuzungumza pale Itigi kwenye geti la mazao na maliasili wale jamaa wanaongoza kwa kula rushwa yani ukifika pale na magendo wanakuchekeche lengo utoe mpunga tu Ili wakuachie.
Naomba nikili Mimi nilikua msafirishaji wa bangi wmaenidaka juzi yani hakuna kitu wanataka zaidi ya pesa Ocs wa pale nadhani anaitwa Hosea au yona sikumbuki vizuri ila hayo majina pale yapo wanapiga pesa sio kitoto Mimi nimeacha miliyoni pale na mizigo yangu ya bangi wameikomalia pia mchele wangu hawajataka kunipa kwaio wanachukua bangi wanaenda kuuza na mchele pia na pesa wanakuchomoa Kuna mgambo wawili pale getini ndio wanakula nao njama Moja mmoja mrefu sana yule ndio kweli wakikuweka ndani wanaongea kinyaturu sijui Ili usielewe kitu.
Wakuu ni eleta hii sababu swala ni kuzuia magendo Sasa kwa nini wajipatie kipato kwa kuomba rushwa Tena waziwazi.
Mtu umekamtwa na bangi si wakupeleke kwa wahusika? Wanachukua Hela basi wakuachie mizigo ukapambane wenyewe wanachukua alafu wanakunyanyasa huo ni ujinga.
Sana yule OCS na afande wake mrefu mweupe wanapiga Hela haramu nyingi sana serikali iwaangalie pale Mimi ni mdau tu natoa maoni yangu kuhusu biashara na udhaifu wa mamlaka husika siku ingine tawaletea issue z pale kintiku getini nao Wala rushwa tu.
Shukrani