Mimi ni kijana wa kike ambae napendelea sana kuwa mwanamasoko aliyebobea. Ningependa kubadilishana na ujifunza kutoka kwa watu mbali mbali wenye namna ya kuchangia ushauri katika fani hii. Tafadhali tuelimishane na kubadilishana mawazo katika jukwa hili. Asanteni.
Thank you very much for at least stating that you need me to elaborate more on what I am asking. Here goes, I am a young woman who would really like to connect, exchange ideas and also learn from people in Tanzania who share my passion for the marketing field.
I love to see a company or people, who can help traders to advertise their products and market them in a new way of thinking and new of technology with less costs.