Kwa kweli walahi!Huyu jamaa anawapa bakora sana. Naona mpaka mnamuota.
Wamemshindwa kabisa, wakenya wote wanahenyeshwa na jamaa.Kwa kweli walahi!
Ama Wanabaki wanaporomosha mitusi!😅Wakenya wote huwa mnakimbizwa na mtu mmoja. Mnashindwa kumjibu kwa hoja mpaka nakuja na post kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app