Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
- Thread starter
-
- #21
Mwenzio nafua mwaka wa saba huu ndani ya NDOA wala hatubagui yeye akizikuta chafu anafua mie nikija nikizikuta chafu mzee najituma kama kawa, wala usikariri mapenzi au kanuni za mababu mfurahishe mwenziooo
Mara kaibao Naibuka Kazini na Underwear ya My wife Wangu
KInyaa wakati CHIMBO unaingia na unajilamba kabisaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu Chimunguru thanks, ila navaa gloves naanza sasa hivi, kumbe ni kawaida sana kufua chupi za mkeo/GF aisee, baadae nitatumia mikono bila
gloves, ila GF akiwepo nitajitahidi nisivae gloves bana
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona aaaahhhh.... haipo sawa, nimemwambia ziweke hadi ziwe mbili/tatu hivi halafu nitafua na zangu nikijaribu kumchenga, tena he put a lot of emphasis kasema eti mapenzi ndio yananoga zaidi, sometimes nisimwambie akute nimefua tu kama surprise...!!! surprise ...!!!!??? haya mapenzi haya, plse help
kuvaa kwa kutest au kuvaa na kuondoka nayo? eeeeehhhh what? i usually kidding akiwepo with her underwear basi.
Hivi ukishindwa simple task kama hii, utakiweza nini kwenye mapenzi ya kweli?
unajua that time uko hoooooooooooot wala no discussion ni kula kila kitu, baada ya malavida ukiambiwa kitu huwa tuna discuss kwanza haya ndio madhara
Kuvaa kabisa mbona mimi huzaa unasema tena kutest bro usicheze na mapenzi hizo ni kuvaa kabisa
Kawaida mkuu, Hivi Viumbe Mungu ametupa Tuvipende na kuvithamini, Kama unataka Kuishi navyo kwa Muda Mrefu suala la Kuvaa Chupi, Kufua Chupi, Kuosha Vyombo ni suala la Kawaida sana Mkuu
Wewe "razima utakuwa unatokea ire pande ya kure kwetu".:teeth:Got u mkuu ngoja nijiweke sawa mm najua vyote, ila leo mmenipa somo, many thanks
Aiseeee nipo njia panda kuvaa chupi ya mwana mke wako? jamani jamani vp tena au mm nipo nyuma kimapenzi? sasa siku ukiwa unaenda kucheat
ukivaa itakuwaje? maana demu wa nje akikuona nayo atashangaa hadi mwisho? hivi ni mapenzi au sbb za kiuchumi?
Aiseeee nipo njia panda kuvaa chupi ya mwana mke wako? jamani jamani vp tena au mm nipo nyuma kimapenzi? sasa siku ukiwa unaenda kucheat
ukivaa itakuwaje? maana demu wa nje akikuona nayo atashangaa hadi mwisho? hivi ni mapenzi au sbb za kiuchumi?
Lakini Wameiba Kura nilikuwa sijasoma vizuri swali lako kumbe ni Gal friend sio mke wako?
mm nafanya vyote kumsaidia, ila la kufua na kuvae chupi yake ilikuwa halipo kabisa mawazoni mwangu, au kuna mtu kamfundisha nini? au anamegwa nini? maana yupo hapa home na ni karibu na kwao hatokagi home, ngoja nichunguze, i have dought
Duh Mkuu Unaonekana Bado sana umri wa Kuoa maana ni Ajabu mtu anayefikiria kuoa halafu vile vile anafikiria namna ya Kucheat! Duh haya bana
Siyo Lazima awe anamegwa Mkuu, anasikia kwa Marafiki zake sasa usipokubaliana na Hali Halisi basi Wafua Chupi watamega tu
thanks, maana huwa ni mtoto wa huhakika, akikaa front seat ukiendesha gari uwe makini, unaweza kukata Left badala ya kulia kwa midadi, ni mwiraq mkuu sisi watu wa arusha bana, somali like, nywele, height we acha tu softyyyyy