GF wangu anakatishwa tamaa na watu

Mwambie ukweli wako,na kwamba haupo nao tena.atakuelewa tu.
 
Haya mambo ya kusikia kwa mtu,au kumjaza maneno demu wako,inakera sana.Inawezekana wanawaonea donge tu,hawana jipya.Mwambie ukweli gf wako,itakuweka huru.
 
alfu si wanawake tuna hiyo tabia ya kuchokonoa mambo yaliyopita. Ivi kwanini mtu usitulie, ukajiamini na ukaenjoy the moment.
 
we mwambie uhuni wako wote muweke wazi
 
Mkuu, mimi nakusaidia kwa kugeuza gazeti, wala sio watu ni mtu anaemfeed na huyo mtu ana vested interest na demu wako na yamkini kabisa demu wako naye anachachawa..........yaani hii nakwambia kwa uzoefu wangu kabisa, haiwezekani mtu baki tu akaanza kumwambia hayo uliyoyatandaza bila kuwa na maslahi nayo..chunguza sana na aghalabu huwa ni yule aliyembikiri au ambaye mahusiano yanaendelea na anaona kuna mambo unamzidi yaani hawezi kucompete na ww, ama badu kanuni ya kale ya wayahudi ilikua ni jino kwa jino na wewe mgeuzie kibao na kuanza kumdadisi hata kama wewe hujasikia..........lakini kwanza nijuze mnaishi wapi maana kuna maeneo na maeneo ambayo dawa yake ni .............
 
raha ya mahusiano mnaanzia pale mlipokutana, ya nyuma yote hampaswa kuyaangalia, kuyasikiliza au kuyaamini incase mkisikia jambo. Mwambie gf wako aache uswahili maana sidhani kama ulimkuta bikra. anaweza kua ana mengi mabaya ndio maana anaji cover kwa kukushutumu, mchunguze utajua.
 
alfu si wanawake tuna hiyo tabia ya kuchokonoa mambo yaliyopita. Ivi kwanini mtu usitulie, ukajiamini na ukaenjoy the moment.

mi nahisi ni kutojiamini na kutaka kutomaso.
 
we mwambie uhuni wako wote muweke wazi

unajua P nilianza huu uhayawani nikiwa darasa la tano,nilishawahi kuwa na chicks 20, kuna wengine niliwamombasa, na hg wa home nimemsahau! Aafu nikienda club huwa nabeba wa chap chap. Atanikimbia mkuu na mi nimepanga kumtambulisha kwa dada zangu.
 
Khaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…