J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 19, 2025 #1 Chawa Mungu anawaona mjue Yaani baada ya Rais wa JMT kupatikana mnamuona Mbowe hana Dili tena? Mnataka Lisu alete amshaamsha Ili pawepo kampeni zenye Fursa kuanzia Kwa Madiwani na Wabunge? Hakika Wahuni siyo watu πππ Lucas Mwashambwa utakula wapi? πΌπππ
Chawa Mungu anawaona mjue Yaani baada ya Rais wa JMT kupatikana mnamuona Mbowe hana Dili tena? Mnataka Lisu alete amshaamsha Ili pawepo kampeni zenye Fursa kuanzia Kwa Madiwani na Wabunge? Hakika Wahuni siyo watu πππ Lucas Mwashambwa utakula wapi? πΌπππ
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 1,472 Reaction score 2,766 Jan 19, 2025 #2 Kumekucha!Lisu akishinda zitamwagika Hadi huku!
B Barnabas Mashamba JF-Expert Member Joined Jul 4, 2020 Posts 797 Reaction score 2,233 Jan 19, 2025 #3 Subiri kwanza. NNitarudi...
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 19, 2025 #4 Kabisa na kweli mtaji wa machawa ni upinzani wenye nguvu.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 19, 2025 Thread starter #5 min -me said: Kabisa na kweli mtaji wa machawa ni upinzani wenye nguvu. Click to expand... Watu wengine Kwenye kampeni ndio hununua viwanja Vya 20x20 na kujenga vyumba viwili πππ
min -me said: Kabisa na kweli mtaji wa machawa ni upinzani wenye nguvu. Click to expand... Watu wengine Kwenye kampeni ndio hununua viwanja Vya 20x20 na kujenga vyumba viwili πππ
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,010 Reaction score 4,083 Jan 19, 2025 #6 Mbowe Gaidi ?
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,010 Reaction score 4,083 Jan 19, 2025 #7 johnthebaptist said: Watu wengine Kwenye kampeni ndio hununua viwanja Vya 20x20 na kujenga vyumba viwili πππ Click to expand... Haha Boi yai yeye alishajenga kibanda chake ππ
johnthebaptist said: Watu wengine Kwenye kampeni ndio hununua viwanja Vya 20x20 na kujenga vyumba viwili πππ Click to expand... Haha Boi yai yeye alishajenga kibanda chake ππ
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 19, 2025 #8 Duh aiseee