Mie baba yangu alienda shambani, bahati mbaya akakuta mahindi yote yameliwa na ng'ombe na hajui ni ng'ombe wa nani, hapo hapo anasema aliona ukungu jicho moja likawa halioni sawia, alivyoenda KCMC ndio wakagundua kuwa amepata presha ya macho, alitibiwa na sasa yuko mzima kabisa, hivyo wahi kapime hata ukikutwa nayo inatibika bila shaka yoyotenilikuwa nawaza hivi pia.