Ghafla Liverpool imegeuka kuwa binti maringo?

Hebu acha ujinga...uwe unasoma hata tarehe comment imeandikwa na imeandikwa kwa ajili gani....acha kukurupuka.
Najua uliandika muda mrefu ndio maana nikakuuliza bado uamini?
 
Najua uliandika muda mrefu ndio maana nikakuuliza bado uamini?
Uamini = Huamini
Ni Mwehu pekee anaweza sema Arsenal siyo mbovu...timu limekua bovu sana....lakini kipindi naandika comment timu ilikua dope...sijui tumefeli wapi daah!
 
Uamini = Huamini
Ni Mwehu pekee anaweza sema Arsenal siyo mbovu...timu limekua bovu sana....lakini kipindi naandika comment timu ilikua dope...sijui tumefeli wapi daah!
Hamjui mlipofeli? Mbona wenzio wanasema Arteta ndio tatizo? Wewe huamini hilo?
 
Hamjui mlipofeli? Mbona wenzio wanasema Arteta ndio tatizo? Wewe huamini hilo?
Mimi binafsi naona kumtupia mzigo wote Arteta ni kujifariji tu kwani kuna factors nyingi sana za kuangalia kabla ya kumfanya Arteta a scape goat.
nikiingalia Arsenal hii...simuoni mtu kama Ramsey..Cozorla... Walcott...Rosisky...etc kwa maana ya vipaji na kujitoa.
Kifupi Arsenal haina wachezaji wakugombea taji kwa sasa...hata Champions league hawawezi kwenda kwa timu ile hata kocha awe nani..mabosi waache ubahili wajenge kikosi...
 
Uamini = Huamini
Ni Mwehu pekee anaweza sema Arsenal siyo mbovu...timu limekua bovu sana....lakini kipindi naandika comment timu ilikua dope...sijui tumefeli wapi daah!

Unajua kama thread ilikuwa inazungumzia future, wewe ukajibu kwa kuweka past results kwamba ndizo zinaonesha Arsenal atafanya vizuri?
 
Unajua kama thread ilikuwa inazungumzia future, wewe ukajibu kwa kuweka past results kwamba ndizo zinaonesha Arsenal atafanya vizuri?
Ni kweli,lakini nadhani nilikua ndani ya muda,kutokana na perfomance na morale ya timu kwa game zilizokua zimepita ndani ya kipindi kifupi nyuma,hususan against timu kubwa na knockout games...ndo maana sikutolea mifano game za 2006.
Lakini pamoja na yote ukiniuliza kwa sasa nitwambia Arsenal itapigwa tu kutokana na muendelezo wake wa matokeo mabovu dhidi ya timu zote kubwa na ndogo.
Sometimes ku determine future inahitajika kujua past lakini iwe within period of time...muda usipite sana kwani vitu hubadilika.

Yes! niliweka past kuzungumzia future lakini nilikua ndani ya muda na ninaamini sikua wrong...ndo maana jamaa amesubiri months baada ya kuona anguko la Arsenal ndo amekuja kuuliza...nadhani the statementI made Ilisha expire.
 

Okay, nimekupata.
 
Mnafurahisha sana gunnerz

Hivi kwa kikosi gani ulitegemea kufanya vizuri katika ligi.

Yani MNA average players mwanzo mwisho. Hizo big match mlikuwa mnashinda kwa kupark bus Na kupiga counter that tactic is not sustainable

And about Liverpool nyie kuifunga Liverpool when it matters hamuwezi. Mlishinda kwenye ngao ya hisani Na kwrnyr ligi mechi ambayo tayari Liverpool bingwa hawana cha kupoteza
 
Sometimes kufanya vizuri kwenye ligi hakutokana tu na ubora wa kikosi but fighting spirit and discipline kwenye pitch.
Timu ilionekana kuwa na fighting spirit at the moment naandika hiyo Comment...beating Liverpool,Man City..Chelsea...winning Fa Cup and Community shield..ni kichaa pekee angeweza itabiria Arsenal mabaya haya tuyaonayo,kila mtu alitegemea improvement zaidi kutoka kwao kwa kigezo cha fighting spirit na siyo ubora wa kikosi.
Fc Porto alichukua UEFA si kwa ubora wa kikosi bali kupambana pia Leicester alichukua ligi kwa kufight siyo ubora wa kikosi kuliko timu nyingine bali fighting spirit ambayo tuliiona Arsenal wakati akifika Arteta.
 
Ubora wa kikosi acha kujidanganya mahrez na kante wapo pale leicester city? Vardy umr umembakisha drinkingwater alienda chelsea hiyo porto unayoitaja ww ya wakina deco ujue huo ni mfano tu


Mech zote zile arsenal alipak bus watu walikakauka kwa kuwa hakuwa na wachezaj pengine hilo lilimpa arteta pumz sasa kaanza msimu na usajili anao hawez kupak bus tena kichapo ndo kinaanzia hapo
 
Hapa sasa ndio umeongea ukweli arsenal ni timu kubwa sana tena sana ila wachezaj waliopo pale sio level ya arsenal
 
Unanishangaza sana ndugu yangu kiasi nashindwa kuamini kama wewe ni mwanasport.
Hivi uliwajua Danny Drinkwater,Vardy,Kante au Mahrez before Leicester kufanya ilichokifanya? They were just "No body" kila mwanamichezo analijua hilo,leiscer ndo imewaweka sokoni hao.
Cha kushangaza unaongelea kuhusu Porto ya kina Deco..hiyo timu ilikua ya kawaida tu kwenye uwanda wa soka la ulaya...Ambapo kulikua na timu bora kama Ac milan,Madrid,Man u,Bayern,Barca etc...walifanya walichokifanya kwa sababu ya roho ya kupambana iliyowekezwa na Mou...eti "Porto ya kina Deco" Deco na nani mkuu?

Kuhusu suala la kupaki basi na kushambulia kwa kushtukiza ndo linanipa mashaka sana na uanamichezo wako...kwani it seems like huna unachoelewa kuhusu "Game Plan"
ningependa niandike mengi kuhusu hili ila kwa sasa elewa tu "Ukiona huna nguvu basi tumia akili,na kama huna akili tumia nguvu" hiyo ni Game plan ili upate point tatu kwenye pitch au umtoe mtu kwenye knockout..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…