Pole sana mkuu kuna dawa naamini ukitumia itakusaidia sana na kuludisha heshima yako kitandani.Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida.
Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na hapo hapo sikuweze simamisha tena vizuri mpaka sahivi.
Naomba kujua nitafanya nini nirudia hali yangu ya zamani.
Atabebewa mke au[emoji22] Mungu akurehemu kwa kwel..
Nakuonea huruma
Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida.
Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na hapo hapo sikuweze simamisha tena vizuri mpaka sahivi.
Naomba kujua nitafanya nini nirudia hali yangu ya zamani.
Hapana, sijasema hvyoAtabebewa mke au
Kwa hyo unamshauri aende kwa mungu wa kabili?Nahisi utakuwa umepigwa dudu la kwa babu kutoka kwa basha mpya wa mkeo ili ushindwe gemu la 6 kwa 6 awe anakula yeye, huku wewe ukiwa sanamu tu. Jaribu kuonana na babu (sangoma) akutizame Zaidi. Pole lakini.