Ghafla taifa limehamia kwa zuchu na diamond sasa, yani mtaendelea kuchezewa akili kama tom and jerry😅

Kuna vibe hapo leo 9
 
Siyo kweli mkuu. Hao wachache unaowaona wakipost mambo ya Zuchu et al ndiyo Taifa Zima hilo?
 
Mnawalaumu bure hao watz, na ukiona unaziona sana hizo habari za Zuchu ujue wewe ndo tatizo unaepaswa kuhurumiwa.

Algorithm yako inakuletea hivyo kwakua unafatilia na unaangalia sana hizo mbanga, unasoma comments na kulike baadhi ya posts au comments.

Na mlio wengi mnafanya hivyo halafu mnasema wabongo hivi ama vile ilhali hata ningi ni wadau.
 
Binti wa zuchu umri wake haufiki wiki moja lkn bakuli lake la tonetone asaiv linasoma milioni 700 ndani ya masaa 48 tu, chadema bibi kizee wa miaka 35 bakuli lake la tonetone limedoda hata milioni 300 ndani ya miezi 2 imemshinda.
 
Watanzania Hawajitambui, hata Kenya wanajitambua sana kwenye Critical issues na hawayumbishwi Wallah
 
Mimi upumbavu kama huo sijawahi kuusikia.
JF ni home of great thinkers.

Wapumbavu wengi wamwmezwa na akina Diamond na Mashoga zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…