Ghalama na mapato ya shamba la Miti.

pelezicr

Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
28
Reaction score
17
Je!
Umeshawahi kujiuliza ni kiasi gani cha ghalama utazitumia kuanzisha na mapato yake kwa shamba la Miti ya Mipaina/Milingoti.

Hapa nimejaribu kufanya tafiti ndogo kwa mkulima mdogo na kupata hesabu hii kwenye jedwali.

NB: Unaruhusiwa kuongeza au kuuliza.

Karibu sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku niliposusa hiyo biashara ni pale shamba langu la miaka 8 lilipochomwa moto na wasiojulikana, wabongo hatuna maana

thanks to god the almighty
 
Hapo kwenye harvesting, kwa nini idad ya trees Umeweka tofauti kwa 4,6 and 18yrs!?
Na vip kuhusu gharama ya mavuno, ni gharama ya mnunuzi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida Miti huwa inapungunzwa hasa baada ya miaka mitano ili kuhakikisha miti inapata chakula na mwanga wa kutosha, ndio maana idadi inapungua.

Yes,
Kwa mahesabu haya ghalama ya uvunaji hapa ni ya mnunuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku niliposusa hiyo biashara ni pale shamba langu la miaka 8 lilipochomwa moto na wasiojulikana, wabongo hatuna maana

thanks to god the almighty
Pole sana.
Ila kila biashara ina hasara hivyo lazima uwe umejiandaa kwa hali kama hiyo kisaikologia pia kuhakikisha unazuia isitokee na hata ikitokea uweze kuukabili.

Wengi wetu huwa hutuzingatii uwekaji wa njia za moto kwenye mashamba ya Miti na pia kuwa na mahusiano mazuri na wenyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…