Ghalama za power tiler toka nje

Mi pia nahitaji hiyo power tiller wadau hats ikiwa na jembe tu
 
Nahitaji power tiller Kubota ya kulimia kwenye mpunga ntajie bei ni shilling ngapi. Tafadhali nusaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubota full ni 12 - 15 mill, bila tela 9- 12 mill kwasasa, used 8 - 10 mill full. Ila kuna mashine muundo wa kubota kuna Toyo, Swami na Boa ni 7mill full na 5 mill bila tela.
Nahitaji power tiller Kubota ya kulimia kwenye mpunga ntajie bei ni shilling ngapi. Tafadhali nusaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app

Barafu la moto
 
Kubota full ni 12 - 15 mill, bila tela 9- 12 mill kwasasa, used 8 - 10 mill full. Ila kuna mashine muundo wa kubota kuna Toyo, Swami na Boa ni 7mill full na 5 mill bila tela.

Barafu la moto
Nahitaji hii power tiller yenye nguvu inayoweza kulima sehemu ngumu ngumu. Nafikiri iyo ya 12 Mpaka 15milliom itanifaa. Iyo ya 12 Mpaka 15 million . Sjajua ni za uwezo wake upoje. Sjajua wanaangalia cc au horse power

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubota full ni 12 - 15 mill, bila tela 9- 12 mill kwasasa, used 8 - 10 mill full. Ila kuna mashine muundo wa kubota kuna Toyo, Swami na Boa ni 7mill full na 5 mill bila tela.

Barafu la moto
Kwa huzi Kubota za 12 Mpaka 15 million huwa zina HP ngapi. Mi sio mzoefu Sana Ila nmeona zikifanya kazi mashambani.unaweza ukanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote zina HP 14 hizo bei ni ikiwa pekee ni 12 pamoja na tela ni 15. Zina lima vizuri sana na zinafaa kwa mazingira ya namna zote.

Barafu la moto
 
Sasa ki power tiller kimoja ukiagize kutoka nje ya nchi wakati hapa vimejaa tena bei poa, kama si upunguani huo ni nini?

Huo niliompa ni muongozo tosha kabisa na msaada mkubwa kwa wenye kufikiri.

Wewe unamuongoza aagize nje, siyo?
Watu wanaagiza hata chupi sembuse powetiller

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaagiza hata chupi sembuse powetiller

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao siwashangai kwani Wauza nguo wanaokwenda nje kurudi nazo kwenye manegi ni wengi sana.

Lakini power tiller? Ni kitu ambacho hakina ushuru na hapa zipo tena mpya kabisa kwa bei nzuri tu. Sioni sababu ya kuiagiza nje.

Lakini aah, mtumwa hajifichi.
 
Zote zina HP 14 hizo bei ni ikiwa pekee ni 12 pamoja na tela ni 15. Zina lima vizuri sana na zinafaa kwa mazingira ya namna zote.

Barafu la moto
Kubota nzuri zaidi na ambayo inaweza ikadumu kwa muda mrefu ni ya aina gani?.
 
Kubota nzuri zaidi na ambayo inaweza ikadumu kwa muda mrefu ni ya aina gani?.
Zote zinadumu ingawa zile za mikono mifupi sio heavy-duty kwasababu hutumika kuvurugia tu, lakini zile za mikono mirefu ndio nzuri zaidi na zinapiga kazi zote kwa usahihi na uharaka na huchukua mpaka miaka 3 bila kugusa injini wala gia box kama operator ni mzuri.

Barafu la moto
 
asante, je baada ya kulima unaweza kuzitumia kupandia na kupalilia?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…