moses28
New Member
- Dec 20, 2012
- 3
- 0
Kwanza naomba niwashukuru sana wana JF kwa kutoa mawazo yanayojenga pindi mtu anapokuwa anahitaji msaada huo,binafsi naomba kufahamu juu ghali ya soko la alizeti ndani ya nchi,ni kipi chenye soko zaidi kati ya alizeti yenyewe au mafuta yake,na ni maeneo yapi soko linakuwa zuri zaidi,pia nahitaji kufahamu juu ya ukulima wa alizeti,mf.inachukuwa mda gani toka kupanda hadi kuvuna na cost zake kwa ujumla,nina mpango wa kulima hili zao kwa mkoa wa rukwa,asanteni sana.......