Uingereza hawana hata mgodi mmojaSalaam Watanzania wenzangu.
Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti.
Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba.
Kwanini Waghana wanapaswa kupata mkopo(loan) kwa Dhahabu yao wenyewe?
"Mtu anakuja kwako na kuiba, kisha anageuka na kusema, 'Unaweza kukopa" Udhalimu huu Uingereza wataacha lini?
Kwa taarifa zaidi bofya chini hapa
Asante Gold: UK to loan back Ghana's looted 'crown jewels'
Mkuu Ahsante kwa ushauri huo.Hamna cha ajabu hapo, Afrika ndivyo tulivyo. Angalia tu vijiji vinavyo zunguka migodi ktk nchi hii watu wake walivyo choka mbaya.
Charity begins at home 🏠🏡 hivyo tuanzie hapa Tanzania.
Patron, ww huoni hiyo ni ajabu? Mtu akuibie nyumbani mwako, halafu arudi aseme anakukopesha alichokuibia?Hamna cha ajabu hapo, Afrika ndivyo tulivyo. Angalia tu vijiji vinavyo zunguka migodi ktk nchi hii watu wake walivyo choka mbaya.