GHANA Ni Team ya Taifa Pendwa sana Na Waafrika Wengi hata Ulimwenguni kiujumla, sababu ni hii

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari wana Jukwa.
Mimi naomba nijiseme kabisa Naipenda sana Team ya Taifa Ya Ghana, Ila nimekuja kushituka baada ya kugundua kua hii Team ya Taifa ina Mashabiki wengii sana kuliko Team ya Taifa yoyote Afrika na hata wazungu ukiwafatilia wanaonekana wanaipenda sana hii Team.

Nikajiuliza kwanini hii Team ina Mashabiki wengi hivi? Tena kuzidi hadi Morroco iliyofika semi Final ya 2022 ya WC.

Nikagundua sababu ya watu wengi kuipenda GHANA kuliko Mataifa Mengine ni ile Issue ya 2010.

Mtu atajiuliza hivi katika ya Morroco na Ghana Nani kafika Mbali kwenye Historia ya WC? JIBU Ni Morroco ila sasa kinachowanyima Morocco Mashabiki wengi Africa na Duniani ni Kua Morrocco walifika Mbali sawa ila Angalia wachezaji wote sio wazaliwa wa Morroco yani First Eleven Robo Tatu wachezaji wamezaliwa Ulaya wamekuja tu Morroco kwa kufata Asili ya wazazi wao.

Ila Ghana Iliyofika Robo Ya WC Mwaka 2010 pale South ilikua na DAMU ya Kiafrica kabisa yani watoto wa Mtaani waliozaliwa Kwenye mazingira ya Utapiamlo wakaonyesha kua Hata sisi inawezekana kupiga boli kama Spain.

Ni Team ambayo wachezaji wengi hawakutokea Academy wametokea kwenye Mfumo wa Mpira wa Africa kabisa ambao hauna Maswala ya Academy.

Hicho ndio hadi Leo Ghana Ina Mashabiki Wengi na Hata Mechi ya Jana Nahisi hakuna banda umiza lilikua na shabiki wa Misri..Yani Ilikua Full KUDUS.

Leo Hii Ghana ikienda Kombe lolote inakua na wafuatiliaji wengi sema tu Saiv kinawatesa Era,Ila Mashabiki wapo wengi sana sema wamekaa kimya wanaumia ambavyo inajitafta.

#TIME WILL COME AGAIN

#VAMOS BLACK STAR
 
Team HamasaπŸ˜‚
Sema tu ukweli hatuupendi.
Mtoto wako kama hana uwezo kwanini uswek juhud za kumtafutia mwalimu bora na mazingira mazuri.
Yan Tz tuna unafki mwingi sana, mdomon wanaongea tutashinda, nenda kaone mikeka yao wanampa moroccoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna kitu wanafanya bora wacheze rede watu wamekaa kupiga 10% vipaji vinakufa mtaaani. Wanachukuliwa mabogus
 
Wewe ni kizazi cha .com? Enzi zetu timu ya dunia ilikuwa brazil na ya afrika ni nigeria
 
wako na standards za kistaarabu za kipekee sana mathalani kwenye michezo, siasa, uchumi na utamaduni.....

hawanaga baya, chuki wala kisasi na mtu.
Iwe umewadharaua, umewachokoza, umewabeza au hata kuwatukana.....

For sure wanapendeka zaidi kwa matendo yao achilia mbali maneno πŸ’
 
Umeongea ukweli mtupu. Achana na hao timu Ndumbaro failureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zambia To wΓ¬n and over 2.5πŸ˜€
 
Niliipenda NIGERIA ya kina JAY JAY OKOCHA walichokifanya Olympic 96 hakina mfanowe..
Basi tu wakaja kubweteka, kile kilikuwa ni kizazi cha dhahabu sio nigeria tu, ila africa kwa ujumla.
Sema Naija ya karibun duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…