THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
The Best In Africawako na standards za kistaarabu za kipekee sana mathalani kwenye michezo, siasa, uchumi na utamaduni.....
hawanaga baya, chuki wala kisasi na mtu.
Iwe umewadharaua, umewachokoza, umewabeza au hata kuwatukana.....
For sure wanapendeka zaidi kwa matendo yao achilia mbali maneno π
Nimesema Current.Wewe ni kizazi cha .com? Enzi zetu timu ya dunia ilikuwa brazil na ya afrika ni nigeria
Nimesema Team ya Ki Africa usikurupukeGhana kwa miaka mingi hawafanyi vizuri ila kama unaipenda si vibaya ndio mapenzi ila Haina mashabiki wengi duniani zaidi ya uko kwao.
Asante mkuu Team OsimhenTimu yangu bora ya Afrika ya muda wote ni Nigeria.
Aya ni mashindano ya Mataifa ya Afrika, Sasa sijui ku kurupuka kunatoka wapi!!Nimesema Team ya Ki Africa usikurupuke
Imeoza kweli kweli.Sema Naija ya karibun duuuh
Ulicheki mechi ya jana vs ivory Coast, it was classic.Asante mkuu Team Osimhen
Lkn sio Team HamasaHakuna timu hapo...
Cameroon mkuu mbona unatusahau "Indomitable Lions"Wewe ni kizazi cha .com? Enzi zetu timu ya dunia ilikuwa brazil na ya afrika ni nigeria
Hio ishapoteana tokea yupo Etoo anachezaCameroon mkuu mbona unatusahau "Indomitable Lions"
Leo tunamuumiza Senegal Cameroon sio timu ya wasiwasi mkuuHio ishapoteana tokea yupo Etoo anacheza
Brazil overTeam pendwa zaidi duniani kwangu mimi ni..
1: Brasil
Team pendwa zaidi Africa ni
1:Misri
2:ghana
3:senegal
4:Morocco
πππππππππLeo tunamuumiza Senegal Cameroon sio timu ya wasiwasi mkuu
Aliwahi sema yeye kua tofauti yake na Neymar ni moja tu yeye ni Ghana halaf Neymar ni Brazili.πkudus ni habari nyingine na pia ghana hawana majivuno wako loyal ndio sababu wanapendeka.