Yeah ndiyo maana hata Afcon tulifuzu baada ya kila kundi kuwa inatoa timu 2,zamani ilikuwa timu moja tu inayoongoza ligi na mshindwa bora (Best looser)
Si pale chini amekuandikia kabisa source ni BBC?Sijui kati ya wewe na BBC swahili nan ka copy na kupest kwa mwenzake...najiuliza tyuuuu
Tatizo langu sio ukurupukaji Bali ni UleviMkuu açhana na watu wakurupukaji!
Duh! Algeria kabisa wametolewa 😱 maajabu haya 😀😀
Tutaonekana sababu ya mechi za kufuzu kuchezeshwa kikanda, hivyo lazima kila kanda itoe timu flani.Afadhali east africa angalau tunaonekana kidogo
Ilikuaga ni west africa na waarabu tu utadhani hayo mashindano ni kwaajili yao
Tutaonekana sababu ya mechi za kufuzu kuchezeshwa kikanda, hivyo lazima kila kanda itoe timu flani.
Hiindio siri ya Stars kufuzu AFCON na CHAN vinginevyo tusingefuzu karibuni hapa.
Subiri aibu matokeo ya timu za ukanda wetu zitakapokutana na vigogo huko CHAN hakuna tofauti na yaliyotukuta AFCON.
Nashangaa Karia na TFF wanasifiwa kufanya vizuri kiasi cha kuwezesha Stars kufuzu✔ AFCON na CHAN!!!
Hivi lugha sahihi ni kufudhu AU kufuzu?
Sijui kiswahili sanifu.