Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Ghana wagundua dawa ya UKIMWI

Hizi dawa za kutibu maradhi yasababishwayo na AIDS zinagundulika kila wakati karibu kila nchi ila wazungu wakishasikia wanatuma watu wao kwa mgongo wa W.H.O na kuua mfumo mzima wa ugunduzi wakisema kuwa haukidhi vigezo/standards za shirika hilo la afya ulimwenguni.

Waliutengeneza UKIMWI wao eti ili upunguze kasi ya ongezeko la watu shambani kwao (AFRIKA) ingawa ulivuka mipaka ya bara hili pia.

Tanzania ilishawahi kugundua mpaka kinga ila yakaisha kimya kimya (nakumbuka baadhi ya askari polisi walipewa chanjo.........)

Israel mwaka huu pia waligundua ila nadhani hizo dawa wanazogundua wazungu zitawatibu wao tu na watazifanya ghali sana kwa anayezihitaji hasa kutoka Africa, Asia na some southern American countries.
They are making our world so hard everyday.

Ila tusubiri tuone....
 
Imepitia medical researches, inaonekana kuwa na uhakika. Swali ni kuwa wazungu wataipokeaje hii kuwa Africa ime crack the code?
Kumbuka ukienda UK na US hawa watu ndo wanafanya research sana ila hawatambuliki. Ukienda pale tropical disease research london wengi wanatoka huko ila wa Ethiopia wapo na Eretria. Nilikuta Mtanzania mmoja tu zamani that was 1994.

I believe Ghana can do it. Wale ni watu wanachakarika sisi siasa zinawafanya watu wawe butu. Tunashindwa nini kutuma wana sayansi sasa hizi ili wajiunge na wenzao ili wafanye experiment. Sky mwanangu ni researcher angependa kwenda Tz ila wakati yupo BSc nilienda kumuombe nafasi ili afanye research bongo akakataliwa, mwanangu wa kike alikataliwa kufanya research Milembe hospital eti niende kwa waziri.

Walienda wakafanya projects zao mmoja Kenya mwingine Myanmar na wamepata kazi nzuri. Naishukuru nchi yangu kwa kutupumbaza. Mnawapaisha wenzenu.
 
Hizi dawa za kutibu maradhi yasababishwayo na AIDS zinagundulika kila wakati karibu kila nchi ila wazungu wakishasikia wanatuma watu wao kwa mgongo wa W.H.O na kuua mfumo mzima wa ugunduzi wakisema kuwa haukidhi vigezo/standards za shirika hilo la afya ulimwenguni.

Waliutengeneza UKIMWI wao eti ili upunguze kasi ya ongezeko la watu shambani kwao (AFRIKA) ingawa ulivuka mipaka ya bara hili pia.

Tanzania ilishawahi kugundua mpaka kinga ila yakaisha kimya kimya (nakumbuka baadhi ya askari polisi walipewa chanjo.........)

Israel mwaka huu pia waligundua ila nadhani hizo dawa wanazogundua wazungu zitawatibu wao tu na watazifanya ghali sana kwa anayezihitaji hasa kutoka Africa, Asia na some southern American countries.
They are making our world so hard everyday.

Ila tusubiri tuone....
Wazungu mwanzo walifikiri UKIMWI ni tatizo la Afrika, lilipowafikia ndipo waligundua kuwa dunia ni kijiji.

Dawa ikipatikana wataitangaza, kumtibu mgonjwa wa HIV kwa ARV za sasa zinagharimu kati ya £400-1000 kwa mwezi, kumbuka kuwa mtu huyu anaweza kuishi miaka 40 ijayo.
 
Hizi dawa za kutibu maradhi yasababishwayo na AIDS zinagundulika kila wakati karibu kila nchi ila wazungu wakishasikia wanatuma watu wao kwa mgongo wa W.H.O na kuua mfumo mzima wa ugunduzi wakisema kuwa haukidhi vigezo/standards za shirika hilo la afya ulimwenguni.

Waliutengeneza UKIMWI wao eti ili upunguze kasi ya ongezeko la watu shambani kwao (AFRIKA) ingawa ulivuka mipaka ya bara hili pia.

Tanzania ilishawahi kugundua mpaka kinga ila yakaisha kimya kimya (nakumbuka baadhi ya askari polisi walipewa chanjo.........)

Israel mwaka huu pia waligundua ila nadhani hizo dawa wanazogundua wazungu zitawatibu wao tu na watazifanya ghali sana kwa anayezihitaji hasa kutoka Africa, Asia na some southern American countries.Tu
They are making our world so hard everyday.

Ila tusubiri tuone....
Tupe reference sababu huwezi gundua kitu kisiingie kwenye board of research. Mbona waligundua kinga ya malaria Kilosa na wameijaribu ingawa mpaka sasa hatujui kulikoni?

Tuache mambo ya siasa za kiafrika ila uje na formula unaipublish watu wataidiscuss. Kwani wanasayansi wangapi duniani walipingwa kwa miaka mingi ila wakakubaliwa baada ya miongo? sayansi siyo Penguin books ambayo mtu anasoma na kukubali.
 
Kumbuka ukienda UK na US hawa watu ndo wanafanya research sana ila hawatambuliki. Ukienda pale tropical disease research london wengi wanatoka huko ila wa Ethiopia wapo na Eretria. Nilikuta Mtanzania mmoja tu zamani that was 1994.

I believe Ghana can do it. Wale ni watu wanachakarika sisi siasa zinawafanya watu wawe butu. Tunashindwa nini kutuma wana sayansi sasa hizi ili wajiunge na wenzao ili wafanye experiment. Sky mwanangu ni researcher angependa kwenda Tz ila wakati yupo BSc nilienda kumuombe nafasi ili afanye research bongo akakataliwa, mwanangu wa kike alikataliwa kufanya research Milembe hospital eti niende kwa waziri.

Walienda wakafanya projects zao mmoja Kenya mwingine Myanmar na wamepata kazi nzuri. Naishukuru nchi yangu kwa kutupumbaza. Mnawapaisha wenzenu.
Waghana wamepiga kitabu, karibu kila hospitali unayokwenda Uingereza kuna professor mmoja au zaidi kutoka Ghana.
 
Wazungu mwanzo walifikiri UKIMWI ni tatizo la Afrika, lilipowafikia ndipo waligundua kuwa dunia ni kijiji.

Dawa ikipatikana wataitangaza, kumtibu mgonjwa wa HIV kwa ARV za sasa zinagharimu kati ya £400-1000 kwa mwezi, kumbuka kuwa mtu huyu anaweza kuishi miaka 40 ijayo.
Kumbuka bongo tunapata dawa bure ila sasa kipodo kinakuja baada ya US kuweka kibano. Wajiandae. Hao Ghana wapanue uwanja ili dreamline iweze kutua mara tatu kwa siku.
 
No hawawezi kubania ARV na dawa za TB ni moja ya basic needs za binadamu wenye mahitaji hayo.
 
Tupe reference sababu huwezi gundua kitu kisiingie kwenye board of research. Mbona waligundua kinga ya malaria Kilosa na wameijaribu ingawa mpaka sasa hatujui kulikoni?

Tuache mambo ya siasa za kiafrika ila uje na formula unaipublish watu wataidiscuss. Kwani wanasayansi wangapi duniani walipingwa kwa miaka mingi ila wakakubaliwa baada ya miongo? sayansi siyo Penguin books ambayo mtu anasoma na kukubali.

Haya boss...

REFERENCE HIYO HAPO.

Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada - JamiiForums
 
The discovery at its early stage, will it pass through "the WHO obstacles"??, as we all know the production of ARV drugs is one of lucrative business to the European pharmaceutical industries. WHO stealthily, saves as their undercover agent.

Big up Ghana and Dr,Duncan Big up Africa for the discovery, as we know, the industries under the European agents supplied ARVs to our poor African Governments at low costs to sustain life of our infected bros and sisters, but it is "learnt" that it would come a time when the supply will be stopped intentionally!!!?, imagine what would happen at that time!!, it is a plan by Europeans to depopulate Africa and migrate here as a result of the in -coming 3rd WW.
 
Duuu itakua poa kama ikiwa kweli maana hakuna mtz asieguswa na hili kama sio baba basi mama au mjomba dada kaka shangazi bibi
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii kitu maana ni mara nyingi waafrica wamekuwa wakiitangazia dunia kugundua dawa ya ukimwi.1991 reserchers wa kikenya walidai kugundua dawa ya ukimwi KEMRON huku wakipata support ya Rais wao Moi aliyedai wagonjwa 50 wamepona . Walipiga sana pesa za watu ikaishia hewani.
Vile vile Mcongo na Mu Egypt walitangaza kugundua dawa wakaipa jina la madikteta wao (Mobutu-Mubarak 1) kifupi MM1 wakajipigia pesa lakini hakuna kitu.
2007 rais wa Gambia nae akadai kugundua dawa.
Mwaka 2002 tena mkuu wa majeshi wa nigeria akaitangazia dunia kwamba wanajeshi wake 30 wamepona ukimwi baada ya kutumia dawa iliyogunduliwa na dr mmoja aliyeitwa Jeremiah Abalaka.Jamaa wakapiga pesa ndefu kabla ya serikali ya nigeria kuipigika marufuku.
Nasema nitakuwa wa mwisho kuamini maana waafrika katika kupiga hela huwa haangalii ..kwake dili ni dili .
 
Back
Top Bottom