Ghana yachunguza tukio la Tiktoker aliyetishia kuua wagonjwa

Ghana yachunguza tukio la Tiktoker aliyetishia kuua wagonjwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini humo, limetangaza kumchunguza Mtengeneza Maudhui wa mtandao wa TikTok, anayedaiwa kuwa Mwanafunzi wa Uuguzi baada ya kuchapisha video inayodaiwa kutishia kuua wagonjwa

Katika video hiyo, alionekana akiwa amevalia sare za shule ya Uuguzi na kudai atamuua mgonjwa yeyote ambaye anatafuta huduma yake kama muuguzi, kwa sababu alilazimishwa kusomea taaluma hiyo kinyume na mapenzi yake

Aidha, Baraza hilo limetoa wito wa watu kutoizingatia video hiyo na kuonya wanafunzi wa uuguzi dhidi ya kutumia sare kwa shughuli ambazo hazijaidhinishwa.

.....................................

A TikTok user is being investigated after posting a video on the app allegedly threatening to kill patients, Ghana's Nursing and Midwifery Council said. The TikToker is said to be a nursing student in the country.

In the video, she appeared in a nursing school uniform and claimed "she will kill any client who seeks her service as a nurse because she was forced to pursue nursing against her will", the council said in a statement

"Investigations have commenced earnestly to identify the said student and apply the necessary sanctions," it said. It said the student made the remarks out of "ignorance" about the nursing profession and urged the public to treat the video with the "contempt it deserves".

It also warned nursing students against using uniforms for unapproved activities.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom