BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.
My take: Hatuna rais

Kwa kweli nimesikitika sana leo asubuhi watu mbalimbali walivyokuwa wakilalalmika ila BBC wamechelewa kwani walichangia kwa kiasi kikubwa JK kurudi madarakani.
Hivi lini ulijua hatuna Rais mkuu. Mbona baada ya kujiuzulu akina mzee wa Monduli hadi leo TZ imeendelea kuwa anarchy?
Wewe umeona wapi nchi yenye rais viongozi waandamizi zaidi ya 10 wanatoa matamko tofauti kwa jambo hilohilo kama Chatanda, Makamba, Chagonja, Mwema, Shamsi, Membe, Wassira, sitta, Msekwa, Sofia Simba n.k.
Rais anaenda kupunga upepo tu na Mabalozi na wafadhili kwa sababu ndio kula yake.
Hivi nikiuliza sasa hivi mtaniambia Tanzania inaongozwa na nani? The president is not in control. Dhambi ya wizi wa kura inamaliza kwa sababu hana ujasiri wa ku control watu ambao hawajamchagua. Nahisi anaweza kujitundika huyu watu wamlinde kwani tunamdai huyu asije akapoteza ushahidi.
na ameziba maskio huko ikulu kama vile hasikii kitu, inabidi wa TZ wafanye liwezekanalo ili huyu jamaa atoke b4 miaka mitani haijaisha, 2005 watu wengi walimwamini na kumpa uongozi cha ajabu kawageuka walio wengi na kuwa kitu kimoja na mafisadi, shame on him!!
Uzee wake utakuwa ni wa manung'uniko akitoka madarakani coz hao anaowalinda hawatakuwa marafiki zake tena. KIKWETE MUST RESIGN.
Naunga mkono hoja.
Yule alosemwa na Nakaaya au??ni Mr. politician.
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.
My take: Hatuna rais[/QUOTE]
Awamu hii ya nne kwani tulishakuwa na Raisi?
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.
My take: Hatuna rais
Umechelewa sana kuligundua hilo. Tangu awamu ya nne ilipokwisha, yaani Nov 1, hatuna rais wala serikali!My take: Hatuna rais