Gharama na ubora wa Granite tile & Slabs za CGDG (Zinazozalishwa Tanzania)

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,235
Reaction score
1,268
Kwa ambaye amewahi kutumia Granite/Marble tiles na slabs za hawa jamaa wanaojiita China Gold Development Group (CGDG), je Gharama wanayotoza ya 26$ kwa square metre inaendana na ubora wa bidhaa zao..?, nina mpango wa kufanya paving kwenye nyumba yangu na hawa jamaa wameniambia kwamba tiles zao wanazitengeneza kwa kukata na kuchonga mawe makubwa na kutengeneza hizo tiles na slabs. Binafsi sina uhakika kama bei hiyo is worth the quality hivyo nimeona niulize kwanza kwa waliowahi kuzitumia. na je bei ya granite slabs kwa wazlishaji wengine Tanzania zikoje..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…