Kuingia unalipa sh. 1000 kwa kichwa kama wewe ni MTanzania. Kama una gari pia inalipiwa kutokana na cc zake. Unaweza kutoka Mwanza ukaingilia geti karibu na Lamadi. Tembelea website yao pia
Asante mkuu
Kiingilio Elfu Kumi kaka kwa mtu mmoja na si 1000, na gari ni shs 20000
Hapana kiingilio ni 1000 kwa Mtanzania na gari inategemea uzito!
Fungua website yao The official site of the Tanzania National Parks - Home hizo ni tarrif mpya kuanzia July 2013
Asante nadhani haina haja ya kufungua hiyo website maana kwa sasa niko ndani ya hifadhi ya Mikumi japo mimi nina free permit nitacheck nao kisha nitaleta taarifa possibly kesho!
kwa sasa ongezea na VAT 18% hivyo 11800.For instance for Tanzanians who are in a group, which does not exceed 5 visitors visiting Serengeti, Kilimanjaro, Arusha, Tarangire, Gombe, Mahale and Manyara national parks will be paying 10,000/- (US$6) from the current
1,500/- (US$1).
source: pesatimes.co.tz - Ce site est en vente! - Portail d'informations