Gharama ya bati geji 30

Gharama ya bati geji 30

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Wakuu naomba mnisadie garama ya bati Geji 30 kwa hapa Dar es Salaam na Kibaha.
 
Aina gani?

Alaf mgongo mpana 9650 kwa meter.. sijui kama bado bei ni hiyo maana alaf kila mwezi wanakuwa na bei mpya
 
dragon ukipata connection kiwandani ni 22K migongo mipana na 20k migongo midogo
 
Back
Top Bottom