Gharama ya chanjo ya Homa ya ini

Gharama ya chanjo ya Homa ya ini

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
883
Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala mbali mbali inayohusu huu ugonjwa,nakugundua kuwa ni ugonjwa hatari sana.

Naombeni msaada wakujua gharama za chanjo ya huu ugonjwa hapa nchini kwetu.
 
8000tsh kwa wenye bima za afya(NHIF,jubilee,strategy na resolution)
30000tsh kwa wasio na bima
Huduma kuanzia SAA 3 mpaka SAA 9 Ocean Road
 
8000tsh kwa wenye bima za afya(NHIF,jubilee,strategy na resolution)
30000tsh kwa wasio na bima
Huduma kuanzia SAA 3 mpaka SAA 9 Ocean Road
Aisee muhimu sana kupata chanjo ya hii kitu kuna siku arusha aar walitoa ofa ya kuchk free sema chanjo ilikuwa 15,000 halafu unatakiwa kuchoma mara 3. muda sasa govt kuongeza kwenye ile idadi ya chanjo kama ndui, nk kuanzia utotoni ili kukinga jamii ya watz kwenye kukuza uchumi wa viwanda
 
Back
Top Bottom