Aisee muhimu sana kupata chanjo ya hii kitu kuna siku arusha aar walitoa ofa ya kuchk free sema chanjo ilikuwa 15,000 halafu unatakiwa kuchoma mara 3. muda sasa govt kuongeza kwenye ile idadi ya chanjo kama ndui, nk kuanzia utotoni ili kukinga jamii ya watz kwenye kukuza uchumi wa viwanda