Kwa vile umeamuaa kujenga gorofa na kama waliovyoshauri wengine architecture drawings na structural drawings ni muhimu sana kwa sababu nyingi- muongozo wa gharama,uimara wa jengo,vibali vya ujenzi nk
Usikubali kujenga pasipo hivyo unaweza kujutia maamuzi ya kupuuzia kupata hizo drawings