Ukweli ni kwamba haziwezi kulingana, bali itazidi kwa mbali sana tu..... Achana na kitu "finishing" kwenye ujenzi.Gharama yake inaweza kulingana au hata kupita gharama ya kujenga boma na kupiga bati
Soft board/flash door.nashukuru mkuu kwa 1 mpaka 6
hiyo 7 ni either kulingana na experience ya mtu. kuna baadhi ya nyumba milango ya vyumbani ni soft board na vyooni na jikoni ni pvc yenye kioo tinted
nimesema 180sqm kwa mzoefu anaweza jua ripu itakula kiasi gn pia gypsum na tiles za ukubwa gn mkuu
chief,Nikusaidie mkuu, ungeeleza;
1.kiasi cha rooms+ukubwa wake
2.dirisha ngapi na ukubwa wake
3.milango mingapi
4.jiko?..ukubwa wake
5. Dining?.ukubwa wake
6. Lounge?. Ukubwa wake
7.vyoo 2.ukubwa wake?
Hapa utapata makadirio 100%
Mkuu wangu