Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni watashusha hadi nusu ya hiyo bei.
Malipo kwa mwezi ni dola 100. Karibu 240,000 kwa mwezi. Internet inasambaa hadi futi 200, kama mita 60 na inaweza sapoti hadi watu 120 na zaidi. Speed kuna watu hadi 400mps wanapata.
Ila sijajua wazee wa tozo wamejipangaje.
Unaonaje hii kitu. Itakuwa na msaada wowote kwa biashara na raia?