Gharama ya kuagiza kutoka china

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wanaJF

Niliona printing papers na stationery Kwa bei nafuu sehemu Fulani mtandaoni. Sasa sijui nikitaka like box 100 nafanyaje? Sijajua namna halali zankuingiza mzigo no zipi, na cost implications. Naomba Kama kuna Uzi unaolezea haya ntashukuru vilevile. Kwa wanaofanya transportation pia tuonane. Asanteni, ijumaa njema
 
kuwa wazi ni mtandao gani ili wajuzi wajue namna ya kukusaidia
 
Swali langu lilikuwa hapo katika mtandao wa kutumia kuagiza. Mwenzenu nimeona Tu mzigo Alibaba, SASA sijajua walio reliable no akina Nani, na Kwa bei Gani, na maswala ya Kodi yanakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…