Gharama ya kuanzisha mashine za nafaka

Gharama ya kuanzisha mashine za nafaka

Joined
Apr 12, 2018
Posts
71
Reaction score
33
Ningependa kujua gharama ya kuanzisha mashine za kukoboa na kusaga nafaka
+kinu cha kusaga na motor ake hp
+kinu cha kukoboa na motor ake 24hp
+gharama zake inakuwaje na zinapatikana wapi kwa bei reasonable mm npo Tabora
 
Tafuta uzi maaalum wa Mashine za kusaga na kukoboa uko humu na kuna nondo za kutosha kukufungua macho. Hongera kwa wazo la biashara
 
Back
Top Bottom