Anthony Kabeho Member Joined Apr 12, 2018 Posts 71 Reaction score 33 Jul 25, 2018 #1 Ningependa kujua gharama ya kuanzisha mashine za kukoboa na kusaga nafaka +kinu cha kusaga na motor ake hp +kinu cha kukoboa na motor ake 24hp +gharama zake inakuwaje na zinapatikana wapi kwa bei reasonable mm npo Tabora
Ningependa kujua gharama ya kuanzisha mashine za kukoboa na kusaga nafaka +kinu cha kusaga na motor ake hp +kinu cha kukoboa na motor ake 24hp +gharama zake inakuwaje na zinapatikana wapi kwa bei reasonable mm npo Tabora
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jul 25, 2018 #2 Tafuta uzi maaalum wa Mashine za kusaga na kukoboa uko humu na kuna nondo za kutosha kukufungua macho. Hongera kwa wazo la biashara
Tafuta uzi maaalum wa Mashine za kusaga na kukoboa uko humu na kuna nondo za kutosha kukufungua macho. Hongera kwa wazo la biashara
Anthony Kabeho Member Joined Apr 12, 2018 Posts 71 Reaction score 33 Jul 26, 2018 Thread starter #3 mmteule said: Tafuta uzi maaalum wa Mashine za kusaga na kukoboa uko humu na kuna nondo za kutosha kukufungua macho. Hongera kwa wazo la biashara Click to expand... Asante mkuu
mmteule said: Tafuta uzi maaalum wa Mashine za kusaga na kukoboa uko humu na kuna nondo za kutosha kukufungua macho. Hongera kwa wazo la biashara Click to expand... Asante mkuu