Gharama ya Kubadili Muonekano wa ndani wa Gari, Pamoja na Kupulizia Rangi

Gharama ya Kubadili Muonekano wa ndani wa Gari, Pamoja na Kupulizia Rangi

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Heshima yako mkuu;

Ningependa kufaham gharama ya Kubadili na kuboresha mwonekano wa gari yangu kwa ndani (kuweka cover,na macapert )pamoja na kupulizia rangi.je itani cost kama bei gani vile.

Aina ya gari;Toyota Crown 2016

Nipo Kahama Mjini
 
Rangi huwa inaanzania laki tano. Ndani inategemea na unataka quality gani
 
inategemeana ni material gani unataka kwa seat-cover
 
Duh inategemeana, rangi pale Sinza inapigwa na unaisahau gari kwa laki tano
 
Kwa Tanzania sijaona watu wakuweza kureplace leather inayotoka kiwandani ikafanya gari iwe nzuri haswa
 
Back
Top Bottom