safi2 Member Joined Aug 18, 2023 Posts 15 Reaction score 25 Mar 24, 2024 #21 Braza Kede said: asante kiongozi, upo dar au mkoa? Click to expand... Naishi Dar kwa sasa Dodoma.
M Mzee wa Twitter JF-Expert Member Joined Nov 5, 2023 Posts 1,483 Reaction score 2,392 Mar 25, 2024 #22 safi2 said: Nikujibu kwa kifupi: Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2. Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140. Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/= Click to expand... Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani?
safi2 said: Nikujibu kwa kifupi: Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2. Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140. Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/= Click to expand... Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani?
safi2 Member Joined Aug 18, 2023 Posts 15 Reaction score 25 Mar 26, 2024 #23 Mzee wa Twitter said: Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani? Click to expand... Sh 10,000, bei inaweza kubadika kidogo.
Mzee wa Twitter said: Vipi kufyatua kwa mfuko ni bei gani? Click to expand... Sh 10,000, bei inaweza kubadika kidogo.