UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 78
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Ramani unayo au umepiga picha jengo la mtu?Cha kwanza tafuta ramani mambo mengine baadae...
Ukitaka ramani ni PM tufanye kazi.
50-60:milioni
Swali lako la kwanza limejibiwa kimsingi na mdau ila sasa nadhani unataka jibu la swali lingine.Uko too general hebu fafanua ujenzi/mahitaji na gharama toka msingi mpaka finishing
Swali lako la kwanza limejibiwa kimsingi na mdau ila sasa nadhani unataka jibu la swali lingine.
Kwa kifupi makadirio ya huyu mdau nakubalina anayo kama tu we mwenyewe utakuwepo kusimamia show nzima ya ujenzi from msingi mpaka paa. Hii kitu inawezekana sana na wala haitishi sana.
Ukikomaa nayo kwa style hiyo am sure utapata zaidi ya hiyo nyumba uliyopiga picha hapo juu.
Ni kukomaa na mafundi la sivyo utachunwa kama mbuzi wa vingweta
Ukitaka details mwone quantity surveyor eti.Uko too general hebu fafanua ujenzi/mahitaji na gharama toka msingi mpaka finishing
Uko too general hebu fafanua ujenzi/mahitaji na gharama toka msingi mpaka finishing[/QUO
Unataka kuijenga wapi? Kiwanja unacho au gharama unataka ijumlishe hadi ununuzi wa kiwanja? Utatumia tofali za aina gani? Madirisha ya mbao au Aluminium ? Utatumia Gypsum boards au ceiling boards. Funguka tukupe makisio ya ujenzi
Uko too general hebu fafanua ujenzi/mahitaji na gharama toka msingi mpaka finishing[/QUO
Unataka kuijenga wapi? Kiwanja unacho au gharama unataka ijumlishe hadi ununuzi wa kiwanja? Utatumia tofali za aina gani? Madirisha ya mbao au Aluminium ? Utatumia Gypsum boards au ceiling boards. Funguka tukupe makisio ya ujenzi
Mkuu rejea kwenye uzi hapo juu, nimesema kiwanja kipo tena ni tambarare maeneo ya Kivule kwa hio gharama zianzie ktk ujenzi. Iwe ya kisasa zaidi kama unavyoiona kwny hio picha juu...madirisha ya aluminium, gypsum board, bati za msouth, n.k.
Ukipata fundi ambae siyo mwizi na pia kama uwanja wako ni tambarale, hiyo nyumba mpaka finishing vyumba 3 vya kulala na kimoja wapo kiwe ni masterbedroom, jiko + stoo, sitting & dinning room na choo/bafu la public ni M 45 yaani kila kitu kipo tayari mpaka tenki la maji umeweka. Lakini kama nyumba hiyo unaijenga Mbezi ya Kimara andaa si chini ya M65 maana ujenzi wa Mbezi upo juu sana
Huwezi kujua gharama za ujenzi bila kuwa na architectural/structural drawings coz kwa kuangalia kwa macho huwezi kujua vipimo sahihi na kisha kuandaa bills of quantity mkuu!!!Ukiwa na full set of working drawings ndio unaweza tafuta gharama za ujenzi kwa project husika..Ramani yake cna ila nimeikuta sehem nikaipenda. Kikubwa ninachohitaji ni ufafanuzi wa gharama za kuijenga kulingana na mahitaji niliyoyataja hapo awali mkuu...
Mkuu hapo kwenye red mbona umenibamba!!!Yaani ni balaa kiongozi,kwanzia kokoto,mchanga,maji,kifusi ni gharama ajabu...Ukipata fundi ambae siyo mwizi na pia kama uwanja wako ni tambarale, hiyo nyumba mpaka finishing vyumba 3 vya kulala na kimoja wapo kiwe ni masterbedroom, jiko + stoo, sitting & dinning room na choo/bafu la public ni M 45 yaani kila kitu kipo tayari mpaka tenki la maji umeweka. Lakini kama nyumba hiyo unaijenga Mbezi ya Kimara andaa si chini ya M65 maana ujenzi wa Mbezi upo juu sana
![]()
Ramani unayo au umepiga picha jengo la mtu?Cha kwanza tafuta ramani mambo mengine baadae...
Ukitaka ramani ni PM tufanye kazi.
Kiwanja kipo kivule ni tambarare, asante kwa mchango wako
Mkuu hapo kwenye red mbona umenibamba!!!Yaani ni balaa kiongozi,kwanzia kokoto,mchanga,maji,kifusi ni gharama ajabu...
Anayepinga 60 -65 Hajawahifanya hii mambo. Mkuu hilo ni jibu30m nakubali. Hii nyumba labda ni 12m by 10m. Msingi wake ni less than 7m. Usipige jamvi. Weka kifusi pandisha Kwa 3m. Kisha funika Kwa 7M. Badaa ya hapo finishing 10M.