Gharama ya kujenga huu mjengo

Huo mjengo sio chini ya 50m,ila ww lianzishe mdogo mdogo,utashangaa umemaliza,ukiwa na 15m za kuanzia,mwendo mdogo mdogo.
 
Hakikisha Fundi hakuibii simamia Ujenzi mwenyewe
 
Not uzeeni Mkuu umekosea rekebisha kauli
fainali ujanani uzeeni ni matumizi tu
usipoweza kuumiza kichwa ukafanikiwa ujanani jua uzeeni ni kilio tu nakuwa mtumwa kwa vijana kama sio mlinzi basi house boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…